TEHAMA NA WANAFUNZI WATAALAMU WA BAADAE
November 06, 2025
09:00 AM - 11:50 AM
IDRISSA ABDULWAKIL HALL
Mkutano wa kujenga uelewa na Wanafunzi kwenye kada na michepuo ya TEHAMA kwa ajili ya kukuza na kuwaelekeza katika kutenegeneza carrier za TEHAMA katika maisha yao.